Monday, November 16, 2015

Rasta, mtindo wa nywele usiopitwa na wakati

Rasta ni  aina za nywele zilizotengenezwa kwa kutumia katani au wengine wanasema (nywele za wazungu). Nywele hizo huuzwa katika maduka mbalimbali ya vipodozi na urembo. Hapa Tanzania ndiyo penyewe kwani maduka ya Rasta yameshona  kama utitiri ukianzia Kariakoo hadi katika mitaa.